MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, February 25, 2012

Maandalizi ya mbio za kumi za Kilimanjaromarathoni zinazotarajia kufanyika mkoani Kilimanajro Moshi

 Baadhi ya wakimbiaji wakijiandikisha kwa ajili ya mbio za kilimanjaro marathon zinazotarajia kufanyika kesho tarehe 26 Februari
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe(kushoto) akizunmgumza na waandishi wa habari Mjini Moshi Kuhusiana na Mbio za Kilimanjaro Marathoni kwa mwaka 2012. Katikati ni Ofisa kutoka Kampuni ya Exerctive

No comments:

Post a Comment