MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, February 26, 2012

Mbio za kumi za Kilimanjaromarathon zilivyofana mkoani Kilimanjaro

 Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk Emmanuel Nchimbi wa tatu kutoka (kushoto) akiwa katika Picha ya pamoja baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mbio za kumi za Kilimarathon mkoni. wa  Kilimanjaro wa kwanza kulia ni Meneja wa bia ya Kilimanaro, George Kavishe
 Mzee wa miaka 67, Joram Zakaria akimaliza mbio za Kilomita 42
 Mmoja wa wakimbiaji akiwapewa huduma ya kwanza baada ya kumaliza kukimbia

 Walinzi wa Kampuni binfi ya Ulinzi ya KK Security wakionyesja jinsi wanavyotumia Mbwa katika Ulizi
 Raia wa kigeni akijimwagia maji wakatia akimbia

 wakimbiaji wakichuana
 Mmoja wa wakimbiaji akikimbia
 wanariadha wakichuana


 Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom wakijiandaa na mbio za Kilomita Tano
 Mkurugenzi wa Msoko na Uhusiano wa vodacom Tanzania akijiandaa na Mbio za Kilomita Tano
 watu wenye ulemavu wakikimbia kwa kutumia Baiskeli kwa kudhaminiwa na Gapco
 Mchuano mkali wa wakimbiaji
 wakimbiai wakijiandaa kabla ya kukimbia
 Herman akiwaonyesha wakimbiaji picha aliyowapiga kabla ya kuanza kukimbia
 Rukia Mtingwa wa Vodacom akijiandaa kutimua mbio za Kilomita Tano
Nami nilishiriki mbio za kilomita 0 na kufanikiwa kupata picha za kutosha

No comments:

Post a Comment