MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, February 8, 2012

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 33 YA MAPINDUZI YA IRAN ZAFANA DAR

WANANCHI MBALI MBALI WAKIANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI SIKU YA MAPINDUZI YA WATU WA IRAN, KATIKA KITUO CHA UTAMADUNI CHA WATU WA IRANI JIJINI DAR ES  SALAAM
MKURUGENZI WA KTUO CHA UTAMADUNI WA WATU WA IRAN, MORTEZA SABOUR, AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI SIKU YA  MAADHIMISHO YA MIAKA 33 YA MAPINDUZI  YA KIISLAMU YA IRAN, JIJINI DAR ES SALAAM HIVI KARIBUNI. MAPINDUZI YA KIISLAMU YA IRAN YALIONGOZWA NA KIONGOZI WA KIDINI WA TAIFA HILO, AYYATOLAH KHAMENEI, MNAMO MWAKA 1979.
MKURUGENZI WA KTUO CHA UTAMADUNI WA WATU WA IRAN, MORTEZA SABOUR, AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI SIKU YA  MAADHIMISHO YA MIAKA 33 YA MAPINDUZI  YA KIISLAMU YA IRAN,

No comments:

Post a Comment