MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, February 13, 2012

MAADHIMISHO YA UZAWA WA MTUME MOHAMAD S.A.W YAFANYA DIOMOND JUBILE



Mke wa mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa watu wa Iran, akimpatia zawadi mke wa makamu wa rais, Dr Bilal katika sherehe za maadhimisho ya uzawa wa mtume Mohamad S.A.W yaliyofanyiaka jana katika ukumbi wa Diomond Jubilee.

Mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa watu wa Iran, Mortez Sabour, akijadiliana jambo na mwenyekiti wajumiya ya wanawake wa kiislamu Tanzania  Shamim Khan ,katika sherehe za maadhimisho ya uzawa wa mtume Mohamad S.A.W yaliyofanyiaka jana katika ukumbi wa Diomond Jubilee.

Baadhi ya akina mama kutoka Iran, wakiwa na mke wa Balo,katika sherehe za maadhimisho ya uzawa wa mtume Mohamad S.A.W yaliyofanyiaka jana katika ukumbi wa Diomond Jubilee.

No comments:

Post a Comment