Mwenyekiti wa Kamati elekezi wa Tuzo za Muziki wa Kilimanjaro 2012, Innocent Nganyagwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya 1Plus, Fina Mango ambao ndiyo waratibu wa Tuzo hizo wakiteta jambo wakati Semina hiyo.
Innocent Nganyagwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati elekezi akifafanua baadhi ya mambo wakati wa Semina hiyo
Mtayarishaji, Man Walter akizungumza wakati wa Semina hiyoWafanyakazi wa Kampuni ya 1 Plus inayo Cordinate Tuzo za Kilimanjaro za mwaka 2012 wakihakiki majina ya wasanii wakati wa Semina hiyo
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza wakati wa Semina ya wateule wa Tuzo za muziki wa Kilimanjaro za mwaka 2012 iliyofanyika katika Hotel ya Belmont Dar es Salaam
Meneja wa bia ya Kilimanjaro Gerge Kavishe akifafanua baadhi ya mambo kuhusu Tuzo hizo zitazofanyika mwezi April 17 jijini Dar es Salaam
Msanii, Diamond (kushoto) akifuatilia Semina hiyo
Baadhi ya wasanii wakifuatilia Semina hiyo
No comments:
Post a Comment