MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, February 18, 2012

YANGA MOJA ZAMALEK MOJA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM

 Baadhi ya mashabiki wa Yanga wakishangilia goli lililofungwa na Hamis Kiiza dhidi ya timu ya Zamalek wakati wa mchezo Klabu Bingwa Afrika uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
 Msanii KR akitumbuiza wakati wa mchezo wa Yanga dhidi ya Zamalek uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Mashabiki wa Simba wakishangilia baada ya timu ya Zamalek ya Misri kupata goli la kusawazisha dhidi ya Yanga wakati wa mchezo wa Klab Bingwa Afrika uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. timu zilitoka sare ya 1-1

No comments:

Post a Comment