MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, February 21, 2012

Sugu na Luge wapatanishwa ugonvi wao wamalizika

Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi na Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba  wakipeana mikono, Dar es Salaam jana ikiwa ni ishara ya kupatana na kumaliza  tofauti zao zilizotokana na sababu za kimuziki zilizodumu kwa muda wa miaka miwili. Kushoto ni  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi na (kulia) n Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lisu  wakishuhudia

No comments:

Post a Comment