MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, March 29, 2012

Award to Joquine De-Mello

Chargé Affaires Robert  Scott bestowed the 2012 Tanzanian Woman of Courage award to Joaquine De-Mello for her efforts to promote equality, opportunity, and justice for Tanzanian women and girls. Joaquine De-Mello becomes the fifth recipient of the Tanzanian Woman of Courage Award since the U.S. Embassy began this recognition. The ceremony was held at the U.S. Embassy in Dar es Salaam.

 

 Kikosi cha wanafunzi wa Mwaka wa pili wa masomo wa Shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) ambacho Kilipambana na Kikosi Cha Mwaka wa tatu ambao wanasomea Shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu hicho katika Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita

 
Baadhi ya Wachezaji wa Mwaka wa tatu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wenzao kabla ya mechi kuanza

 
 Kikosi Cha timu ya wanafunzi wa mwaka wa tatu wanaosomea Shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika Dua kabla ya mechi dhidi ya wanafunzi wa kozi hiyo katika Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Chuoni hapo

 
  Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Nape (Kushoto) akimnadi mgombe Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, kupitia Chama hicho, Sioi Sumari. Kulia ni Meneja wa Kampeni, Mwigulu Nchemba



 

 Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa akiwa na Mkuu wa Kitengo cha huduma za jamii cha Benki ya NMB Monduli mkoani Arusha

No comments:

Post a Comment