Baadhi ya akina mama wajasiriamali wa kutoka vikundi mbalimbali katika kijiji cha Kilang langa Mlandizi wakiwa na watoto wao wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza,(hayupo pichani) wakati akitoa maelezo namna ya kuweza kutumia vizuri mikopo waliyopewa na Vodacom kupitia mradi wa Mwei .Jumla ya akina mama wajasiria mali 425 walinufaika na mkopo usiokuwa na liba wa zaidi ya shilingi milioni 30
Baadhi ya akina mama wajasiliamali wa kikundi cha Kilangalanga kilichopo Mlanzidi mkoani Pwani ,wakifurahia kupata mikopo isiyo na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI.Jumla ya akina mama 425 wamenufaika na mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 30.
Meneja mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa wa Vodacom, akimkabidhi mkopo wa fedha Mwanaid Khamisi, ambaye ni miongoni mwa akina mama wajasiria mali 425 kutoka vikundi mbalimbali katika kijiji cha Kilangalanga Mlandizi. Walionufaika na mkopo wa zaidi ya Sh Milioni 30.katikati ni mratibu wa mradi wa MWEI Mbuyu Ally.
Mratibu wa mradi wa MWEI wa Vodacom Tanzania Mgongo Emmanueley akitoa ufafanuzi kwa akina mama wajasilria mali wa vikundi mbalimblai kutoka katika kijiji cha Kilangalanga cha Mlandizi kabla ya kuanza kuwakabidhi mikopo isiyo na riba kwa ajiri ya kuweza kuendeleza biashara zao,jumla ya akina mama 425 walinufaika mkopo wa zaidi ya shilingi Milioni 30.
Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akifafanua jambo kwa akina mama wajasiliamari,kuhusiana na matumizi ya mikopo waliyopewa kwa vikundi mblimbali vilivyopo katika kijiji cha Kilangalanga Mlandizi wakati walipokuwa wakisubiria kukabidhiwa mikopo isiyo na liba kutoka Vodacom kupitia mradi wake wa MWEI. Jumla ya akina mama 425 walinufaika na mkopo wa zaidi ya shilingi Milioni 30.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantunu Mahiza akimpongeza Meneja mradi wa Mwei kwa jitihada zake za kuwawezesha akina mama wajasiria mali ,wakati wa hafla ya kutoa mikopo kwa vikundi mbalimblai vya akina mama wajasiliamali kutoka katika kijiji cha Kilangalanga Cha Mlandizi. Jumla ya akina mama 425 walinufaika na mkopo usio na riba wa Sh Milioni 30.kulia ni Diwani wa Kata ya Janga Fedilia Simba na Afisa wa mradi wa MWEI Kombo…..
No comments:
Post a Comment