MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 1, 2012

Airtel yaandaa Tamasha maalum kwa watoto wa wafanyakazi wa Airtel Tanzania na wa wateja wao

Watoto wa wateja wa Kampuni ya Airtel Tanzania wakijumuika kwa pamojana  watoto  wa wafanyakazi wa Airtel kukakata keki iliyoandaliwa na Kampuni ya Airtel Tanzania katika shamra shamra za Tamasha maalum
kuelekea Sikukuu ya pasaka ambapo watoto hao walipata nafasi ya kucheza  michezo mbali mbali kwa pamoja  ambayo ilifanyika katika kituo cha michezo ya watoto kiitwacho Fun Sport  ndani ya jengo la Qualty center Jijini Dar-es-salaam
.
Watoto wakicheza mchezo wa kuendesha magari wakati wa tamasha maalum la michezo kwa watoto lilioandaliwa na Airtel ili  kutoa nafasi kwa  watoto wa  wafanyakazi wa Airtel

No comments:

Post a Comment