MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 1, 2012

WANAFUNZI UDOM WATOA ZAWADI YA PASAKA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MIYUJI KILICHOPO MKOANI DODOMA

 Hii ni moja ya Picha Kubwa iliyochorwa katika ukuta wa bweni ambalo wanalala watoto wa kituo cha Miyuji kilichopo katika Eneo la Miyuji mkoani Dodoma  kinachoendeshwa na kusimamiwa na Kanisa Katoliki

 Mbuzi huyo alikua ni moja ya zawadi ya Pasaka kutoka kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) waliyopelekewa watoto waishio katika mazingira magumu katika Kituo cha kulelea watoto cha Miyuji

Watoto wakiwa wamekusanyika baada ya wanafunzi wa Chuo Kikuu kuwasili


 Baadhi ya wanafunzi wakishiriki michezo pamoja na watoto hao
Baadhi ya wanafunzi wa UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja na watoto waishio katika Kituo Cha Miyuji kilichopo maeneo ya Miyuji mkoani Dodoma wakati wanafunzi wa UDOM walipokwenda kuwatembelea

No comments:

Post a Comment