MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 1, 2012

Siku ya upandaji Miti Kitaifa mkoani Singida

 Baadhi ya wanafunzi wakipanda  miti katika chanzo cha maji cha kijiji cha Ilongero, Singida ambako Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliongoza shughuli hiyo
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipanda mti kwenye chanzo cha maji katika kijiji cha  Ilongero, Singida ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti.  Aliyesimama kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Vincent Perseko Ole Kone.
 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua kisima  kirefu cha maji baada ya kuongoza upandaji miti katika kijiji cha Ilongero mkoani Singida

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wanyaturu  wakati alipoongoza upandaji wa miti katika kijiji cha Ilongero ,Singida ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti

No comments:

Post a Comment