MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 1, 2012

Tuzo za Umahiri na Uandishi Bora (EJAT) 2011

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Executive Solutions, Aggrey Marealle,akijiandaa kumkabidhi Khamis Said (kushoto) wa Uhuru Publications tuzo, baada ya kutangazwa mpiga picha bora katika Tuzo za Umahiri na Uandishi Bora (EJAT) 2011, Dar es Salaam. Executive Solutions ni ilikuwa ni moja ya makampuni yaliyodhamini tuzo hizo.  
.


 Mmoja wa washindi wa Tuzo hizo, Paul Swaruat ambaye ni mwandishi wa gazet la Raia Mwema akiwa na zawadi la Computer baada kutangazwa mshindi katika habari za Utalii
 Washindi wa Tuzo hizo wakipongezana
 Abdalah Mkama wa Mlimani TV akikabidhiwa zawadi ya Computer na Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi Sh Milion nne aliyeibuka mshindi wa jumla Nevil Meena Mwandishi wa Mwananchi Communication
 Katibu wa Rais maswala ya Habari, Issa Michuzi akiwa na mtangazaji wa siku nyingi, Beni Kiko wakati wa tuzo hizo
 Ben Kiko na Eda Sanga watangazaji wa enzi hizo wakiwa tuzo baada ya kukabidhiwa na Rais
 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake,(TAMWA) Ananilelia Nkya (kulia) akimpongeza Eda Sanga
Washindi wa tuzo hizo wakiwa na zawadi zao

No comments:

Post a Comment