MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 1, 2012

upigaji kura jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha

 Askari  wa Kikosi cha kutuliza ghasia wakiimairisha ulinzi wakati za zoezi la kupiga kura
 Mawakala wa vyama mbalimbali na maofisa wa Tume ya Uchaguzi wakihesabu kura katika moja ya vituo vya jimbo la Arumeru Mashariki kumchagua mbunge wa jimbo hilo jana

 Mmoja wa wapiga kura wa jimbo la Arumeru Mashariki, Noel Joseph Palangyo akitumbukiza kura katika sanduku kumchaguzi mbunge wa jimbo hilo


Baadhiya wakazi wa mji wa Leganga, Usa River wakishangilia matokeo ya awali ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru wakati yakionyesha Chadema kuongoza

No comments:

Post a Comment