MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, April 3, 2012

Wafanyabiashara Ubungo Dar es Salaam waondolewa

 Waendesha mikokoteni wakiendesha Mikokoteni yao bila bughudha baada ya kupatikana nafasi ya kupita kutokana na zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara eneo la Ubungo
 Askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia cha FFU wakiimarisha ulinzi baada ya kuwaondoa wafanyabiashara eneo la Ubunge
Baadhi ya vijana waliokuwa wakifanya biashara Ubungo Dar es Salaam  ndani ya hifadhi ya Barabara wakishangilia kwa kuonyesha alama ya vidole viwili baada ya kuondolewa katika maeneo hayo

No comments:

Post a Comment