Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo akiwa na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika (ADB), Tonia Kandiero, wakati wa Semina ya wadau wa Sekta binafsi na Benki hiyo iliyofanyika Dar es Salaam. Katika ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafi (TPSF), Ester Mkwizu
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo akiwa katika Picha ya Pamoja
Baadhi ya wadau wa Sekta binafsi wakipiga makofi baada ya kufunguliwa kwa Semina hiyo
No comments:
Post a Comment