Meneja Mkuu wa Afrika Mashariki wa Heineken Bia akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu ziara ya Kombe la UEFA kwa nchi za Afrika Mashariki itakayodhaminiwa na kinywaji hicho
Mwanadada Azar Charles, akichezea mpira kuashiria ziara ya Kombe la UEFA kuwasili nchini hivi karibuni
Dar es Salaam kila sehemu baadhi ya wakazi wake wamegeuza ni dampo la kutupia Taka hapa ni Sehemu inayoitwa Yombo Vituka pembezoni mwa Reli ya TAZARA taka zikiwazimrundikana
mtoto akiwa amebeka ice kwenda kuuza
Mgombea Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kula katika mikutano ya Kampeni inayoendelea
No comments:
Post a Comment