Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohammed Shein, (wa pili kulia) akiwa pamoja na Viongozi wengine wa kitaifa, katika mazishi ya Marehemu Salum Amour Mtondoo, aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu CCM ,huko kijijini kwao Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B .
No comments:
Post a Comment