MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, March 21, 2012

Matukio mbalimbali jijini, Dar es Salaam

 Tatizo la Usafiri kwa wanafunzi bado halijapatiwa ufumbuzi na mamlaka zinazohusika hapa wanafunzi wakiwa katika Kituo cha Daladala cha Afrika sana wakisubiri majaliwa ya makondakta wawaruhusu kupanda magari ya abiria maarufu DALADALA.
 Maisha ya jijini, Dar es Salaam, kila kukicha ni kuhangaika huwezi kukaa hivihivi utakula nini
 Mkuu wa mkoa mpya wa Geita, Paschal Mabiti akihojiwa na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam
Namba za gari za Mkoa mpya wa Katavi likitoka Ikulu muda mfupi baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwaapisha wakuu wa mikoa mipya minne Ikulu Dar es Salaam , ambayo ni Geita, Shimiyu, Njombe na Katavi. sasa mikoa ya Tanzania Bara inakuwa jumla 29

No comments:

Post a Comment