MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, March 22, 2012

Mkulo azindua Bodi mpya CHC

Waziri wa Fedha, Mustapher Mkullo akizindua rasmi bodi mpya ya Consolidated Holdings Corporations (CHC), kwenye Ofisi za shirika hilo zilizoko jijini Dar es Salaam .  Kushoto kwa Waziri Mkullo ni Mwenyekiti Mpya wa Bodi hiyo Dr. Marcelina Chijoriga.

No comments:

Post a Comment