MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, March 15, 2012

Semina ya Tuzo za Muziki wa Kilimanjaro kwa waandishi wa habari za Burudani

 Mkurugenzi wa 1Plus, Fina Mango waandaji wa Tuzo hizo akizungumza wakati wa Semina hiyo iliyofanyika jijini, Dar es Salaam.
 Baadhi ya waandishi wa habari za Burudani wakifuatilia kwa makini Semina hiyo
 Katibu wa Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Angelo Luhala akielezea historia ya Tuzo hizo katika Semina kwa waandishi
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza wakati wa  Semina ya Tuzo za Muziki kwa mwaka huu zinazotarajia kufanyika April
Kikosi cha Kampuni ya New Habari 2006 Limited kilichopambana na timu ya Vijana wa Chuo cha uandishi wa habari cha Chuo Kikuu cha, Dar es Salaam katika mfulilizo wa michuoano ya mashindano ya NSSF CUP .

No comments:

Post a Comment