MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, April 13, 2012

Ajali mkoani Iringa


Lori lenye namba za usajili T 508 AGG Scania likiwa limeibana costa mali ya Mgumba katika mlima wa Changarawe mjini Mafinga

 Gari aina ya Coastre ikiwa imeharibika baada ya kubanwa na Lori
Mmoja wa majeruhi katika ajali hiyo

No comments:

Post a Comment