MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, April 13, 2012

Kumbukumbu ya Edward Moringe Sokoine

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vicky Kamata wakiwa katika Mnara wa kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine, eneo la Morogoro, ambako alifariki dunia katika ajali ya gari. Pichani, Nape na Viki wakisoma maandishi kwenye mnara huo. Walikuwa wanatoka Dodoma Kwenda Dar es Salaam.




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, mstaafu, Edward Lowassa katika Ibada ya kumkumbuka ya aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki, Kigango cha Wami Sokoine, Morogoro. Watatu Kushoto ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.








No comments:

Post a Comment