Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (katikati) akizungumza na makatibu wakuu wastaafu wa CCM, Philip Mangula (kushoto) na Yussuf Makamba, wakati wa shughuli za maziko ya aliyekuwa Ofisa Mwandamizi Makao Makuu ya CCM, Gordon Mwakitabu mjini Dodoma
Mjane wa Gordon Mwakitabu, Janeth Mwakitabu akiangua kilio wakati wa kuaga mwili wa marehemu mumewe, nyumbani kwao, Area C, mjini Dodoma
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Mwakitabu wakati wa kuaga
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akiaga mwili wa marehemu mwakitabu
Makatibu wakuu wastaafu wa CCM, Yussuf Makamba na Philip Mangula wakiuaga mwili wa marehemu Mwakitabu
. Waombolezaji wakiwa katika huzuni na mshangao, wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mwakitabu. Waliokaa mbele, Kutoka Kushoto ni Katibu wa NEC, Mambo ya Nje, Januari Makamba, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati







No comments:
Post a Comment