MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, April 12, 2012

Airtel yakabidhi Milion 30 kwa Promosheni ya Nani Mkali

 Ofisa uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki akikabithi kitita cha Sh Milioni moja kwa Camill Mayo baada ya kuibuka kuwa mshinidi wa siku na kujishindia shilling milioni moja katika promosheni  ya Nani
Mkali inayoendelea na kuwapatia wateja wa Airtel nafasi ya kuibuka kuwa washindi


 Ofisa uhusiano wa Airtel Bi Dangio Kaniki akikabithi kitita cha Shilingi milioni moja kwa Edward Mnewa baada ya kuibuka kuwa mshinidi wa siku na kujishindia shilling milioni moja katika promosheni  ya Nani
Mkali inayoendelea na kuwapatia wateja wa Airtel nafasi ya kuibuka kuwa washindi


 Mshindi wa pili wa Milioni thelathini wa promosheni ya Nani Mkali,  Steven Chapile kutoka Arusha akikabidhiwa kitita hicho na Ofisa uhusiano wa Airtel Dangio Kaniki mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi  wa pili wa mwenzi wa promosheni ya Nani Mkali inayoendelea na kuwapa nafasi wateja wa Airtel kujishindia pesa taslimu


Ofisa uhusiano wa Airtel Dangio Kaniki (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi wa promosheni ya nani Mkali mara baada ya kukabithiwa pesa zao taslimu katika halfa fupi
iliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel  (wa kwanza kulia) ni Camil mayo akifauatiwa na Edgar Mnewa waliojishindia milioni moja kila moja na (wa kwanza kushoto ) ni Steven Chapile aliyejishindia shilingi milioni 30

No comments:

Post a Comment