MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, April 12, 2012

Jenerali Mstaafu Kiaro aagwa jijini Mwanza

 Maofisa wa JWTZ wakibeba jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza, ulipoagwa jana.

 Wake wa Jenerali Kiaro, Penina (Kushoto) na Zainabu (kulia) wakishuhudia mwili ukiagwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza


Wake na watoto wa Jenerali Kiaro wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, akitoa salaam za rambirambi wakati wa hafla ya kuuaga mwili


Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, ACP Liberatus Barlow, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jenerali Kiaro ulipoagwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza

Jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro likiwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza, ambako uliagwa

Mmoja wa maofisa wa JWTZ akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jenerali Kiaro katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza,

Maofisa wa JWTZ wakikalisha jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro katika meza kwenye viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza

Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Said Hamanzi na Ofisa Usalama wa Taifa wa Mkoa wa Mwanza, Johnson mtasongelwa, wakiwa katika hafla ya kuuaga mwili wa Jenerali Kiaro kwenye viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment