MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 29, 2012

Cheka alivyomchakaza maugo PTA Dar es Salaam


 Bondia Francis Cheka(kushoto) akimdhibiti bondia Maugo wakati wa Shindano la kuwania gari
Bondia Cheka akivalishwa Mkanda na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa baada ya kumtwanga, Maugo katika raundi ya Saba

No comments:

Post a Comment