Mafisango mumeona ndivyo alivyokuwa akiwaambia mashabikiwa Yanga baada ya kufunga goli pili dhidi ya timu ya Al Ahly Shandy ya Sudan
Okwi akishangilia goli la pili dhidi ya Al Ahly Shandy ya Sudan
Waziri Mkuu mstaafu, Federeck Sumaye na Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage wakiwapungia mikono mashabiki baada ya mchezo kumalizika
Mashabiki wa timu ya Simba wakishangilia baada ya kuibuka na ushindi wa goli tatu dhidi ya Al Ahly Shandy ya Sudan wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa katika Uwanja wa Taifa DaresSalaam
No comments:
Post a Comment