Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya wananchi waliohudhuria Sherehe za miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Kutoka kulia ni Mama Maria Nyerere, Rais mstaafu wa awmu ya tatu, Benjamini Mkapa, Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali, na Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibari, Amani Abeid Karume wakiwa katika maadhimisho hayo.
Rais Akikagua gwaride wakati wa maadhimisho ya miaka 48
Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais. Dk Mohamed Gharib Bilali
Askari wa Kikosi cha wanamaji wa Jeshi la wananchi wa Tanzania wakipita kwa gawaride
Askari wa
Kikosi cha FFU cha Jeshi la Polisi wakipita kwa gwaride.
Wanafunzi
wa Shule mbalimbali za msingi waliounda kikundi cha Alaiki, wakiwa katika
maonyesho ya Sherehe za miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika
na Zanzibar








No comments:
Post a Comment