MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, April 11, 2012

Mazishi ya Msanii Kanumba


Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Zakhia Bilal, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa msanii wa Filam, marehemu Steven Kanumba, wakati wa kuuaga mwili katika  Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam

 Makamu wa Rais  Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mama mzazi wa msanii wa Filam, marehemu Steven Kanumba.


Makamu wa Rais, Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Martha Mlata, ambaye pia ni msanii mwimbaji wa nyimbo za Injili,


:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka kwenye Viwanja vya Leaders

No comments:

Post a Comment