Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu akisalimiana na kutambilishwa kwa baadhi ya watendaji na wakuu wa Idara wa Wilaya ya hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni akisaini Kitabu baada ya kuingia Ofisini kwa mara ya kwanza. Kushoto ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Seif Mpembenwe
Mkuu wa Wilaya akisoma baadhi ya vitabu vya maendeleo ya Wilaya hiyo muda mfupi baada ya kukabidhiwa.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Kaptain mstaafu, Seif Mpembenwe akimsomea baadhi ya taarifa Mkuu wa Wilaya, Muhingo Rweyemamu.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu akikabidhiwa moja ya taarifa za Wilaya hiyo na aliyekuwa Mkuu wa Wilya hiyo, Kaptain Seif Mpembenwe.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu akizungumza kwa mara ya kwanza na baadhi ya wakuu wa Idara ya Wilaya hiyo.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Kaptain Seif Mpembenwe akimuonyesha miradi mbalimbali Mkuu wa Wilaya , Muhingo Rweyemamu iliyochorwa katika ubao uliopo ndani ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
No comments:
Post a Comment