Wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa wamebeba Jeneza la mwili wa marehemu, Patric Mafisango wakati wa kutoa heshima za mwisho Chang'ombe Dar es Salaam
Wachezaji wakishusha Jeneza
Mmoja wa ndugu wa marehemu akilia wakati wakati wa kuaaga mwili wa marehemu katika viwanja vya Sigara Dar es Salaam
Msemaji wa Simba, Ezekiel Kamwaga akilia baada ya kutoa heshima za mwisho
Kipa wa timu Simba, Juma Kaseja akipoozwa wakati wa kutoa heshima za mwisho
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akimuuongoza Haruna Moshi
Juma Kaseja akilia wakati wa kutoa heshima za mwisho
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa na Kocha Mkuu wakitoa heshima za mwisho
Umati uliohudhuria wakati wa kutoa heshima za mwisho
Mmoja wa waombolezaji akiwa amebebwa
Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Millovan Circovic akitoa heshima za mwisho
No comments:
Post a Comment