MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, May 11, 2012

Vijana wa Klabu ya Yanga walivyotaka kumngo'a Nchunga

 Mmoja wa wanacha ma wa Yanga akihojiwa na waandishi kuhusu Mwenyikiti wa Klabu hiyo
 Baadhi ya Vijana waliofika Klabuni hapo kwa lengo la kumngo'a Mwenyekiti Lloyd Nchunga kutokana kufungwa na Simba goli 5-0 katika mchezo wa ligi Kuu
 Askari akilinda usalama ndani ya Klabu hiyo

 Mmoja wa Vijana wa Klabu ya yanga akitolea nje naAskari
 Askari akilinda usalama


Askari wakilinda Jengo la Klabu ya Yanga

No comments:

Post a Comment