MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, June 16, 2012

Mkazi wa Dodoma akitafuta wateja wa Chips na Mishikaki

 Akitafuta wateja huku akiendelea kuchoma Mishikaki, Ndizi na kukaanga Chips

 Anakutana na wateja njiani na kusimamisha Toroli lake
 Nikuwekee Tomato au Chunvi tuu
 Ndiyo niwekee Totomato nyingi na Kachumabari

No comments:

Post a Comment