MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, October 2, 2012

Mbunge apata ajali


Mbunge  wa Viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa (CCM), akiwa amepumzishwa katika  Hospitali teule ya Ifisi iliyopo Songwe wilayani Mbeya vijijini, kufuatia ajali hiyo.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Abbas Kandoro akimjulia hali.


Haya ndiyo masalia ya gari  yenye namba za usajili T. 671 ABM aina ya Toyota Ranger mali ya mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuteketea kwa moto kufuatia iliyotokea Mbalizi janaNo comments:

Post a Comment