Shabiki wa Uganda akihamasisha kuishangilia timu wakati ikicheza na Ethiopiakwenye mfululizo wa michuano ya Tusker Challenge Cup 2012 inayoendelea katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda
Huyu ni Raia na mshabiki wa Sudanikusini akishangilia timu ya nchi yake wakati ikicheza na timu ya Kenya. Kenya ilishinda 2-0
Huyu ni raia wa Nje anayeishi nchini Uganda akihamasisha kuishangilia timu
Raia wa nje wanaoishi nchini Uganda wakiwa wamepaka rangi za Bendera ya Uganda wakati wa mchezo dhidi ya timu ya Ethiopia
Mashabiki wa timu ya wakiisgilia timu yao
Huyo Siyo askari ni mmoja wa mashabiki wa timu ya Uganda akihamasisha kuingilia timu
Mmoja wa mashabiki wa Uganda akimsifia Kocha wa timu yao
Raia wa nje wanaoishi nchini Uganda wakiishangilia Uganda wakati ikicheza na timu ya Ethiopia
Huyu ni mmoja wa mashabiki wa timu Sudanikusini akishangilia timu yake wakati ikicheza na Kenya
No comments:
Post a Comment