Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la ‘TMK Wanaume
Halisi’ Juma Nature, akiburudisha mamia ya mashabiki waliohudhuria kwenye
‘Vodacom Krismass Bonanza’ katika ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam jana,
Vodacom Tanzania imedhamini Bonanza hilo
katika kipindi hiki cha sikukuu.
Mmoja wa wasanii kutoka kundi la TMK Wanaume Halisi, Rashid Ziada,
maarufu ‘KR Mula’ akifanya show mbele ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam
waliohudhuria kwenye ‘Vodacom Krismass
Bonanza’ katika ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam jana, Vodacom Tanzania imedhamini Bonanza hilo katika kipindi hiki
cha sikukuu.
Watoto ndani ya bwawa la kuogelea ‘Swimming Pool’
wakifurahia moja ya michezo waliyoandaliwa Vodacom Tanzania, katika Vodacom
Krismass Bonanza lililofanyika kwenye ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment