Mbunge wa viti maalum mkoa wa Katavi, Pudenciano Kikwembe (CCM)
akiwafariji wagonjwa katika wodi ya wazazi hapo jana wakati wa Sikukuu ya Krismas alipo watembelea katika wodi hiyo na kula nao Chakula
alichowaandalia wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mpanda
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Katavi Pudenciano Kikwembe (CCM)
akimfariji mgonjwa katika wodi namba 6, Gregori Mikali hapo jana
wakati wa sikukuu wa Krismas
alipo watembelea katika wodi hiyo na kula nao chakula
Muuguzi katika wodi ya wazazi ya wilaya ya Mpanda akiwagawia chakula
wakinamama wajawazito waliolazwa katika wodi hiyo wakati wa Sikukuu ya
krismas hapo jana, chakula ambacho kiliandaliwa na Mbunge wa viti maalum
Mkoa wa Katavi Pudenciano Kikwembe (CCM) kwa ajili ya wagonjwa wa wodi
zote 6 za Hospitali wa Wilaya ya Mpanda walio lazwa hapo.
No comments:
Post a Comment