Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam kwa kuhakikisha kwamba wakazi wa jijini wanasherehekea Sikukuu ya Krimas kwa usalama na amani liliweka Kituo cha Polisi cha muda katika eneo la Ufukwe wa Coco ambako wakazi wengi wa walijumuika huko
Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiwa katika eneo la Ufukwe wa Coco kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismas
No comments:
Post a Comment