MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 26, 2012

waumini wapya Usharika wa Ukonga (KKKT)

 Vijana waliopata Kipaimara katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania(KKKT) Ushariki wa Ukonga Dar es Salaam wakishiriki ibaada leo
 Waumini wapaya wakijongea mbele ya Meza ya bwana muda mfupi baada ya kupata Kipaimara na kuwa waumini kamili wa Usharika wa Ukonga
 Mmoja wa waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kiluthel Tanzania (KKKT) akifuatilia mahubiri Kanisani hapo leo
Wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kiluthel Tanzania (KKKT) Usharika wa Ukonga, Dar es Salaam wakiimba wakati wa ibada za mwendelezo wa Sikukuu ya Krismas iliyofanyika leo

No comments:

Post a Comment