MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, December 25, 2012

Lowassa ashiriki ibada Zanzibar


Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na mkewe Mama Regina wakiungana na wakristo wengine kwenye ibada ya Sikukuu ya Krismas iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kiluthel Tanzania(KKKT), Mwanakwerekwe Zanzibar.

No comments:

Post a Comment