Shimo lililoko katika makutano ya Barabara ya Maktaba na Garden jijini Dar es Salaam limekuwa ni tatizo kwa waendesha magari na watembea kwa miguu
Abiria waliokuwa wanategemea kusafiri na Basi la Saibaba kuelekea mkoani Arusha wakisubiri kupanda katika Kituo Kikuu cha mabasi ya Ubungo leo
Hawa ni wakatisha tiketi wa Kituo Kikuu cha mabasi Ubungo Dar es Salaa wakigombania abiria kwa ajili ya kuwakatuia tiketi
Happy Birthday Jenifer Ulembo, Mwandishi wa gazeti la Mtanzania Michezo
Said Pendeza akilishwa keki na Jenifer Ulembo
Deus Mhagale akifurahi baada ya kulishwa keki na Jenifer Ulembo
Mwenyekiti wa Press Club Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje akilishwa keki
Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Kulwa Kaledia akilishwa Keki na Jenifer Ulembo
No comments:
Post a Comment