Hii ni Nduki aliyoipiga Mrisho Ngassa na kuja wavuni moja kwa moja huku kipa wa timu ya Zambia Chipolopolo, Danny Munyao akiwa hana la kufanya na kuishia kuutizama ukijaa wavuni.
Hili ndilo goli la Mrisho Ngassa , Mpira ukijaa wavuni
Baada ya kufunga goli alianza kwa kushangilia kwa namna hii kama anavyoonekana katika picha
Hii ni sehemu ya pili katika kushangilia
Sehemu ya nne akipiga saluti yote hiyo ni katika mwendelezo wa kushangilia
Baada ya futaha aliamua kumbeba, Ari Kiemba badala ya kubebwa yeye
No comments:
Post a Comment