MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, December 27, 2012

Cheka apiga mpinzani wake kwa tofauti ya ponti mbili

  Mabondia Francis Cheka na Chiotka Chimwemwe wakionyeshana kazi ulingoni kwenye pambano la IBF lenye raundi 12 lililofanyika juzi uwanja wa Kumbukumbu ya Amri Sheikh jijini Arusha, Cheka alishinda kwa pointi mbili kwa moja
Meya wa jiji la Arusha Gaudence Lyimo (kushoto) na Rais wa TPBC Onesmo Ngowi (kulia) wakimvisha mkanda wa IBF Afrika Bondia Francis Cheka baada ya kutangazwa bingwa,kwenye pambano lililofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha

No comments:

Post a Comment