Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara akiagana na Mkuu wa Mkoa wa
Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe
baada ya kumtembelea ofisini kwake leo mjini Bukoba. Waziri Dk. Mukangara yupo mkoani
humo kwa ajili ya kuangalia jinsi fedha
za mkopo kutoka mfuko wa vijana
zilivyoweza kuwasaidia vijana kujikwamua kimaisha.
Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto ) akiongea na viongozi wa mkoa wa
Kagera (hawapo pichani) leo mjini Bukoba jinsi Serikali inavyoangalia uwezekano wa kuongea
mkopo kwa SACCOS zinazolenga shughuli za maendeleo ya vijana kutoka shilingi milioni tano hadi kumi kutokana
na mahitaji ya fedha hizo kuwa makubwa. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya
Maendeleo ya Vijana James Kajugusi.
No comments:
Post a Comment