MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, December 21, 2012

Lema ashinda Rufaa na kurudishia Ubunge

Lema akiwa na wafuasi wa Chadema baada ya kushinda Kesii ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika Mahakamani kuu Kanda ya Dar es Salaam leo 
 wafuasi wa Chadema walivyoupokea ushindi wa Lema jijini Arusha baasda ya Mahakama  Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutangaza ushinsdi huo leo
 

No comments:

Post a Comment