MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, December 30, 2012

Naibu Waziri Amos Makalla akabidhi Kombe la Kawambwa Cup

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (kulia) akiteta jambo na Naibu Wazir, Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla (katikati) wakati wa Faina za Kawambwa Cup zilizofanyika katika Uwanja wa Mwanakerenge Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kushoto ni Rais Shirisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodgar Tanga
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla akimkabidhi Nahodha wa timu ya Beacha Boys Kombe la Ubingwa wa michuano ya Kawambwa Cup
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akimpongeza Nahodha wa timu ya Beach Boys ya mjini Bagamoyo baada ya timu hiyo kunyakuwa kombe la michuano ya Kawambwa Cup wakati wa fainaili iliyofanyika jana ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri wa Habari
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akizungumza wakati wa Fainali hizo
Nahodha wa timu ya Beach Boys, Mwinyi Ali akionyesha Kombe la ubingwa la michuano ya Kawambwa Cup baada ya kukabidhiwa na Mgeni rasmi wakati wa Fainali hizo, Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Amos Makalla. Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini,(TFF)  Leodgar Tenga
Kutoka kushoto ni Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage, Rais wa Shirisho la mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodgar Tenga, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa Bagamoyo ,Dk. Shukuru Kawambwa ambaye ni  mwandaaji wa michuano ya Kawambwa Cup wakishuhudia Fainali ya michuano hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Mwanakerenge Bagamoyo mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment