Vijana wa jijini Dar es Salaam kutoka klabu za Jogging mbalimbali wakiwa
kwenye mazoezi yaliyoanzia kwenye viwanja vya Tanganyika Pekaz Kawe
jana, ambapo mazoezi hayo yaliambatana na Bonanza la kuaga mwaka. Bonanza hilo liliandaliwa na Kawe Jogging
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azani akiongoza mazoezi hayo
Baadhi ya watu walioshiriki mazoezi hayo
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan akiongoza mazoezi hayo
No comments:
Post a Comment