MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, December 31, 2012

Hatimaye Mrithi wa Milovan Simba Sports Club atu jijini Dar es Salaam


katibu wa Klabu ya Simba, Evodius Mtawala akimwongoza Kocha mpya wa klabu hiyo, mfaransa Patrick Liewing mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa julius Nyerere, Dar es salaam jana akitokea ufaransa

No comments:

Post a Comment