Rais jakaya Kikwete (kulia), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Regnald Mengi wakifurahia jambo muda mfupi baada ya Rais kuzindua matokeo ya Sensa ya watu na Makazi
Mbunge wa Viti maalum, Mariam Kisangi akishangilia wakati wa Rais Kikwete akizindua matokeo ya Sensa na watu na Makazi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa katika uzinduzi huo wa matokeo ya Sensa
Vijana wa uhamasishaji kutoka wilayani Temeke Dar es Salaam wakicheza wakati wa uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment